![Chakula Bora Kwa Ng'ombe wa Maziwa MSHINDO .](/y16bkdi/435.jpg)
Chakula Bora Kwa Ng'ombe wa Maziwa MSHINDO .
Mchanganyiko huu unatakiwa kuandaliwa katika mashine ya kusaga na kuchanganya chakula cha mifugo ili kupata matokeo mazuri, ni vizuri ukaa ili utengeneze nusu tani au tani moja au zaidi kwa wakati mmoja ili upunguze ngarama za kusaga na kusafirisha, maana katika mashine nyingi za kuchanganyia vyakula huwa wanatoza kwa nusu tani au tani moja kuendelea, hivyo kama kwa mfano unataka kusaga ...